Ingia / Jisajili

NAONA RAHA

Mtunzi: Felix Mulei M
> Mfahamu Zaidi Felix Mulei M
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Mulei M

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Felix Muley

Umepakuliwa mara 605 | Umetazamwa mara 1,833

Download Nota
Maneno ya wimbo

1. Sop: Naona Raha, Mimi naona Raha, moyoni mwangu mimi nina raha, moyoni mwangu mimi nina raha

kiitikio

Bass: Nami nitamshukuru,

Wote:  Nitaimba kwa shangwe nitamsifu mwenyezi, nitapiga makofi nduru na vigelegele, nitamshukuru ee        Mungu Muumba wangu, nazo nyimbo nzuri nitaziimba; nitachezacheza nipige makofi, mikono hewani            na shingo zinese, kwa maringo nitamchezea; Mungu wangu nitamchezea.

2. Sop: Nimekombolewa mimi nimekombolewa, na damu yake Yesu, nina raha; Rohoni mwangu            nimekombolewa

3. Tenor: Amenipa mimi uzima wa mwili, tazama nilivyo ni mapenzi yake, yeye huniongoza nifanyapo kazi zangu, naye ananilinda, nilalapo usiku, naona raha mimi nina furaha, moyoni mwangu.

4. Tenor: Bwana nafsi yangu haina kiburi, wala macho yangu hayainuki, nami sijihusishi na mambo magumu yanayonishinda, nishinda nguvu, naona raha mimi nina furaha moyoni mwangu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa