Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 509 | Umetazamwa mara 2,597
Download Nota (TZS 20) Download MidiNAPENDA MNO
Napenda mno makao yako ewe Mungu Mwenyezi, Mungu mwenye nguvu,
//:natamani kuwa hekaluni mwa Mungu Mwenyezi kwa moyo wangu na mwili (mwili) wangu wote://
1. Hata shomoro wamepata makao kwako, mbayuwayu wamejenga viota kwako.
2. Wana herri wale wanaokaa nyumbani mwako, humo wanaweza kukusifu daima.
3. Wanapopita katika bonde kavu la Baka, hulifanya chemchemi yanye madimbwi.