Ingia / Jisajili

Nashukuru Mungu Wangu

Mtunzi: Félix Fémka
> Mfahamu Zaidi Félix Fémka
> Tazama Nyimbo nyingine za Félix Fémka

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Félix Femka

Umepakuliwa mara 394 | Umetazamwa mara 1,209

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nashukuru Mungu wangu (ee Mungu) kwa upendo wako kwangu asante Mungu wangu, asante Mungu nakushukuru nikulipe nini Mungu wangu [kwa wema wako (Bwana) ee Mungu wangu kwa kunipenda acha nikushukuru]2x

1. Makuu ni mengi unayo nitendea yastahili kuyalia kodi ila chenye kulingana na kazi hiyo sina.

2. Nilipotukanwa nakudharauliwa baraka zake zikaniinua ila chenye kulingana na kazi hiyo sina.

3. Shida njaa magonjwa taabu umaskini vilinichanganya ukavikomesha ila chenye kulingana na kazi hiyo sina.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa