Ingia / Jisajili

Nayaweza Yote

Mtunzi: Frt. Godfrey Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Godfrey Masokola

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: willbert michael

Umepakuliwa mara 2,097 | Umetazamwa mara 5,433

Download Nota
Maneno ya wimbo

nayaweza yote (mimi)katika yeye anayenitia nguvu x2

nayaweza yote katika yeye mwenye nguvu mungu bwana muumba wa vitu vyote (hakika mimi) katika bwana nayaweza yote mimi pasipo wewe bwana siwezi chochote chema na mshukuru mungu kuwa ndani yangu (asante) asante bwana (asante) kwa wema wako (asante) asante bwana tunashukuru x2

1.a. unaniongoza katika yote, katika kunena kwangu na kutenda kwangu

    b. uzima wangu watoka kwako wanilisha wanilinda e mungu wangu

2. a.katika furaha za maisha yangu umekuwa pamoja nami e mungu wangu

      b. katika magumu na majaribu, umeniokoa bwan anshkuru

3. a. ninasonga mbele sirudi nyuma kwenye wito wangu nasonga mbele

      b. siko peke yangu niko na bwana anitia nguvu mimi ananiongoza

4. a.nipatapo shida sitaogopa,nitasonga mbele mimi sitarudi nyuma,

    b.nayaweza yote katika yeye anayenitia mimi nguvu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa