Ingia / Jisajili

Naziri Yangu

Mtunzi: Jean-Benoît NYEMBO
> Mfahamu Zaidi Jean-Benoît NYEMBO
> Tazama Nyimbo nyingine za Jean-Benoît NYEMBO

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Jean-Benoît Nyembo

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 14

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ref. Naziri naziri yangu mimi nitaitimiza bwana, unilinde ee Mungu wangu nilinde nilinde hai X2 Nilitoa maagano siku ya ubatizo wangu ( mimi ) namkataa shetani ( mimi ) namkataa, na matendo yake yote ( mimi ) nayakataa X2

1. Ijapo kuwa udhaifu wa maisha ya mwili najitahidi nikupendeze Mungu wangu kwa kazi yangu : Niongoze bwana ( wangu ) niongoze bwana ( hili ) nifike mbinguni Mungu wangu niungane nawe X2

2. Dunia hii ni yenye vishawishi na vikwazo, unipe nguvu nisiregee Mungu wangu kwa kazi yangu : Niongoze bwana ...

3. Ee Mungu wangu nitazame mimi mdhaifu ninaye sahau maagano ya ubatizo : Unisaidie Mungu wangu ( mimi ) niyakumbuke, Unisaidie Mungu wangu ( mimi ) niyatimize.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa