Ingia / Jisajili

Nchi Imejaa Fadhili Za Bwana

Mtunzi: Noel S.Munyetti
> Mfahamu Zaidi Noel S.Munyetti
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel S.Munyetti

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Noel Seni Munyetti

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 19

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nchi Imejaa Fadhili za Bwana × 2 Kwa neno la Bwana, mbingu zilifanyika, mbingu zilifanyika Aleluya ×2 1. Nchi Imejaa Fadhili za Bwana, Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika. 2. Nalo Jeshi lake, Jeshi lake lote, lilifanyika Kwa pumzi ya kinywa chake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa