Mtunzi: Unknown
> Tazama Nyimbo nyingine za Unknown
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 650 | Umetazamwa mara 1,869
Download Nota Download MidiNchi yote itakusujudia
We Mungu nchi yote itakusujudia nakukuimbia naam, italiimbia jina lako ewe mtukufu. ×2
Shairi.
1.Njooni yatazameni matendo ya Mungu, hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu.