Mtunzi: Unknown
> Tazama Nyimbo nyingine za Unknown
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 701 | Umetazamwa mara 2,165
Download Nota Download MidiMoyo wangu umekuambia
Moyo wangu umekuambia uso wako nitautafuta usinifiche.×2
1.Umekua msaada wangu usinitupe wala usiniache, We Mungu was wokovu wangu.
2.Baba yangu na Mama yangu Bali Bwana Bwana atanikaribisha kwake.