Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Daniel Denis
Umepakuliwa mara 563 | Umetazamwa mara 1,806
Download Nota Download MidiKiitikio: Ndiwe kuhani , kuhani hata milele,kwa mfano, kwa mfano wa Melkizedeki
Mashairi: 1.Neno la Bwana kwa Bwana wangu,uketie mkono wangu wa kuume, hata niwafanyapo adui zako,
kuwa chini ya miguu yako.
2.Bwana atainyosha toka Sayuni, atainyosha toka Sayuni,fimbo ya nguvu zako, uwe na enzi,
uwe na enzi kati ya adui zako.
3.Kwa uzuri wa utakatifu, kwa uzuri wa utakatifu, tokea tumbo la asubuhi unaoumande,
waujana, waujana wako.
4. Bwana ameapa wala hata ghairi, ndiwe kuhani hata milele, kwa mfano wa Melkizedeki.