Mtunzi: Gabriel Kapungu
> Mfahamu Zaidi Gabriel Kapungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Kapungu
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 858 | Umetazamwa mara 3,272
Download Nota Download Midi1:Wewe ndiwe kuhani mkuu mfano wa Melkisedeki , ulichunge taifa la Mungu ulichunge taifa lake ndiwe....
Kiitikio: Ndiwe kuhani mkuu chunga taifa lake , kwani shambani mwa Bwana wavunaji ni wachache, mwombe Bwana wa mavuno awapeleke, awapeleke wavunaji katika shamba la bwana x2.
2:Umepakwa mafuta na Mungu ulichunge taifa lake, uwe dira na mwangaza kwao ulichunge taifa lake. ndiwe...
3:Injiri yake ukahubiri potepote katika nchi, Mungu wetu akutangulie ulichunge taifa lake. ndiwe...
4: Upitapo tutakufuata shetani mwovu akimbie, tuungane na watakatifu siku ile ya ufufuo. ndiwe...