Mtunzi: Lucas. M. Ally
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas. M. Ally
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Marikani
Umepakuliwa mara 2,194 | Umetazamwa mara 4,878
Download Nota Download MidiNEEMA IMEFUNULIWA
Neema ya Bwana neema imefunuliwa
1. Neema toka mbinguni imefunuliwa
2. Neema kwa watu wote imefunuliwa
3. Neema kwa familia umefunuliwa
4. Neema kwa waimbaji imefunuliwa
5. Neema kwa waamani imefunuliwa
6. Neema kwa makanisa imefunuliwa
7. Neema kwa jimbo letu imefuniliwa