Ingia / Jisajili

Mapesa

Mtunzi: Lucas. M. Ally
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas. M. Ally

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alfred Marikani

Umepakuliwa mara 5,546 | Umetazamwa mara 9,382

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

K.F.Manyenye Jan 28, 2024
Wimbo huu, ni wimbo wa mwalimu Emmanuel Shija Masaka aka Emmy, tofauti yake ni mabeti tu, aliutunga miaka ya 2001 akiwa Parokia ya Mwamashimba Kwimba Mwanza.Nimepigwa butwaa kukuta mtunzi siye yeye! Mtunzi wa wimbo huu ndiye aliyetunga Msiwe na wasiwasi, wosia nk

Jonathan ntare Sep 17, 2022
Hongera Mwilini kwa wimbo mzuri Mungu aliye hekima ya Utunzi Mkubwa zaidi ili tuendelee kumtukuza Mungu kwa njia uimbaji.

Cyprian Ernest Dec 27, 2018
Kwa kweli huu wimbo naupenda kwa kuwa kila kitu ni mali ya Mungu na tukitoa tutajazwa zaidi. Halafu ni wimbo wa uchangamfu kwa maana ukipigwa lazima utajisachi ukatoe sadaka. Ila sijajua kama naweza kuupata kwenye album ya kwaya gani, naomba usaidizi.

Toa Maoni yako hapa