Ingia / Jisajili

Neema Ya Karamu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 50 | Umetazamwa mara 150

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NEEMA YA KARAMU lKAE NANYI lWA SAIDIE WAKATI WASHIDA X2 Fine.1. Tunzeni sana NEEMA mliyo jaliwa leo.nayo iwaongoze katika shida zenu.2.Iwafariji wakati wakati wataabu lwaletee upendo hapa duniani. 3.Iwasaidie mzidi kuungana. HAYA mfike kwenye heri ya milele 4. Iwatulize wakati wa usiku.Iwaangaze wakati wamashaka.5.Nira ya upendo na Amani lwenanyi.kwauaminifu mshike agano lenu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa