Ingia / Jisajili

Kristo Pasaka Wetu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 493 | Umetazamwa mara 1,301

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kristo paska wetu amechinjwa sadaka tuilekaramuye na twimbe aleluya .x2Aliye jitoa sadaka ya paska wakristo wamtolee sadaka yasifa.2 Mwana kondoo amewa komboa kondoo kristo asiye na dhambi amewapata Nisha wetu wenye dhambi ,.3.Mauti na uzima vimeshinda ajabu mkuu wa uzima aliye kufa atawala milele .4.Utuambie Maria upiona Nini njiani niliona kaburi la kristo mzima na utikufu was mwenye aliye kufa.5.Mashahidi ni malaika less ya uso na mavazi kristo tumaini langu kafufuka atawa tangulia galilea.6.Twajua kristo amefufuka kweli katika wafu e we MFALME mshindaji utuhurumie Amina aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa