Ingia / Jisajili

Nena Bwana

Mtunzi: Frt. Daniel Ndile
> Mfahamu Zaidi Frt. Daniel Ndile

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Frt. Daniel Ndile

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 40

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Mimi hapa Bwana wangu umeniita, wito wako mtakatifu naitikia. Wa thamani moyoni mwangu nafurahia, Nami nimekupenda Bwana milele yote. 2. Nimekuja Bwana wangu nitume Bwana, Naitika wito wako nimesikia. Utamke neno lako nitume mimi, kutangaza habari njema milele yote. 3. Nipeleke Bwana wangu shambani mwako, Niwachunge niwalinde kondoo wako. Nijalie Roho wako niwe imara, niwatunze kondoo wako kwa mfano wako. KIITIKIO Nena Bwana mtumishi wako ninasikia (Ee Bwana) Sauti yako moyoni mwangu naifurahia. X2 Nitangaze Neno lako kwa mataifa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa