Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 595 | Umetazamwa mara 2,807
Download Nota Download MidiNenda katoe sadaka kwa bwana X2 naye ataipokea mikononi mwake,naye ataipokea nakuibariki X2
shairi.
1.(a)Peleka na fedha yako ataipokea
(b) peleka shukrani yako ataipokea
2.(a) Peleka mazao yako atayapokea
(b) simama ewe mkrsto atakubariki