Ingia / Jisajili

NENO LAKO BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 379 | Umetazamwa mara 2,082

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mabeti 1.Neno lako Bwana Yesu, ni taa ya kuniongoza, na mwanga njiani mwangu neno lao huniongoza. 2.Ninapo kuwa na njaa neno lako hunishibisha , ninapokuwa na kiu neno lako hunituliza. 3.Nikiwa na huzuni neno lako hunifariji, na nikiwa hatarini neno lako hunifariji. 4. Nikiwa safarini neno lako huniongoza na nikiwa mashaani neno lako huniongoza. Kiitikio: Neno lako Bwana(Yesu Kristu) ni furaha yangu, neno lako Bwana(Yesu Kristu) ni amani yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa