Ingia / Jisajili

Yesu Rafiki

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 335 | Umetazamwa mara 1,469

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
YESU RAFIKI R/ Yesu rafiki yangu ninakukaribisha,shibisha roho yangu uwe nami, uishi nami milele 2/. 1.Nipe nguvu ya kukujia, nipe moyo wa kukupenda, ukiniacha sina raha. 2.Pendo lako unijalie, na imani nizidishie, bila wewe nata abika. 3.Wewe ni neno la uzima, wewe chakula cha uzima, Yesu shibisha roho yangu. 4.Uniongoze mashakani, uniepushe maovuni, unifikishe uwinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa