Ingia / Jisajili

Nguvu Ya Safari

Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 1,763 | Umetazamwa mara 3,438

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NGUVU YA SAFARI Katika safari yetu ya kuelekea mbinguni, tunahitaji nguvu ili tukaze mwendox2. Ekaristi chakula bora kwa uzima wetu, ndio nguvu nguvu ya safari tufike mbinguni x2. 1. Safari yetu imesonga wanadamu tumechoka, tunahitaji nguvu mpya kutoka mbinguni. 2. Chakula tunachohitaji sio chakula cha mwili, ni chakula chenye uzima wa roho zetu. 3. Mwili na damu yake Yesu ndio chakula cha kweli, chakula cha kutupatia nguvu ya safari.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa