Ingia / Jisajili

Ni Kwa Ukarimu Wake

Mtunzi: LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)
> Mfahamu Zaidi LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)
> Tazama Nyimbo nyingine za LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Lopuyo Paulo Lokwawi

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 85

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu atuita kwani mezani pake, ametuandalia, chakula cha roho ametwekea kinywaji ndiyo hiyo damu yake. Ni kwa ukarimu wake, (ni kwa ukarimu wa Bwana)*2 wetu Yesu. 1.Karamu ya Bwana Yesu imeandaliwa, wenye moyo safi tujongee tumpokee. 2. Aulaye mwili wake hukaa ndani yake, naye Bwana hukaa ndani ya mtu huyo. 3. Anywaye damu ya Bwana humtangaza yeye, naye Bwana humwekea maisha milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa