Ingia / Jisajili

Tazama

Mtunzi: LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)
> Mfahamu Zaidi LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)
> Tazama Nyimbo nyingine za LOPUYO PAULO LOKWAWI (LPL)

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Lopuyo Paulo Lokwawi

Umepakuliwa mara 68 | Umetazamwa mara 169

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama, tazama, tazama mimea tazama wanyama tazama tazama tazama binadamu. Milima, tazama mabonde tazama, bahari tazama samaki uangalie uone wanavyopendeza sana. (Apewe sifa apewe muumba wa vyote.)*2 1. Nchi kavu kaitenga na maji mengi ajabu na samaki kawajaza majini. 2. Mawingu yawe angani yanyeshee nchi kavu na mito iteremke maziwani. 3. Binadamu kawaumba kawapa amri kumi na wafuate waishi milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa