Ingia / Jisajili

Ni Mwezi Wa Rozari Takatifu

Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: Himery Msigwa

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ni mwezi wa mama yetu Maria mwezi wa neema njooni wakristo wote njoini tusali Rozari .

tulete maombi yetu kwake mama Maria naye atayafikisha kwa Yesu Kristo mwanae x2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa