Mtunzi: Joyce Wikedzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joyce Wikedzi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 424 | Umetazamwa mara 1,944
Download Nota Download MidiNi mwili wa Bwana Yesu Kristu x2
Aliutoa msalabani kwa ajili yetu atuokoe x2
1. Na tuushiriki upendo wake Bwana tujongee mezani pake
2. Natukale mwili wa Bwana kwa upendo wote twendeni kwa kwa karamu
3. Hakuna mwenye upendo kama yeye kuutoa uhai wake
4. Lakini tusiuumize moyo wake kwa matendo yasiyofaa