Ingia / Jisajili

Uje Moyoni Bwana Yesu

Mtunzi: Joyce Wikedzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joyce Wikedzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 471 | Umetazamwa mara 2,497

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Uje mwangu moyoni Bwana Yesu nipate chakula cha uzima x 2
Uje uje uje uje. Uje mwangu moyoni Bwana Yesu nipate chakula cha uzima

  1. Karibu mwangu moyoni ukae nami daima ukae nami daima milele.
     
  2. Ulisema wewe Bwana mwili pia na damu yako ni chakula cha uzima wa Roho.
     
  3. Ulisema wewe Bwana ana uzima miele anaye kunywa na kula daima.
     
  4. Ulisema wewe Bwana tujitakase daima ndipo tusogee mezani pako.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa