Ingia / Jisajili

Niacheni Niende

Mtunzi: LUKA JOHN WALLAGA
> Mfahamu Zaidi LUKA JOHN WALLAGA
> Tazama Nyimbo nyingine za LUKA JOHN WALLAGA

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: PAUL NGUSA

Umepakuliwa mara 324 | Umetazamwa mara 468

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Niacheni niende (kwake) nikatoe sadaka yangu kwenye hazina yangu (mimi) kwenye hazina yangu Mbinguni kwake Baba. Nikaijenge nyumba (yangu) nyumba ya Baba (yangu) kwenye makao yangu ya Milele. 1. Nami najiuliza nimefikisha ngapi? Kwenye hazina yangu mbinguni, niacheni niende nikatoe sadaka. 2. Ninajifikiria nitatoa nini mimi, Cha kukupendeza Mungu wangu, Niacheni niende nikatoe sadaka. 3. Kila nishikacho naona ni kidogo sana, Ee Bwana wangu ninakusihi, Upokee ingawa ni kidogo naleta.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa