Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu

Mtunzi: LUKA JOHN WALLAGA
> Mfahamu Zaidi LUKA JOHN WALLAGA
> Tazama Nyimbo nyingine za LUKA JOHN WALLAGA

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: PAUL NGUSA

Umepakuliwa mara 250 | Umetazamwa mara 627

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka yangu(Mimi) naileta kwako Ee Bwana, Kwa moyo radhi (pia) na wenye upendo wa kweli. Ni sadaka yangu mimi, sadaka ya upendo, japokuwa ni kidogo, yote ni Mali yako Ee Bwana Mungu Upokee. 1.Sasa ni wakati wa kutoa sadaka, yanipasa kumrudishia Mungu Mali yake. 2. Mema mengi sana aliyo nitendea, yanipasa kumrudishia Mungu Mali yake. 3. Ananipa nguvu na maarifa mengi, yanipasa kumrudishia Mungu Mali yake. 4. Ninaposafiri ninafika salama, yanipasa kumrudishia Mungu Mali yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa