Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 788 | Umetazamwa mara 3,416
Download Nota Download MidiNiite nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa makubwa magumu usiyoyajua makubwa magumu usiyoyajua wewe x 2
Mashairi;
1. Wewe niliyekushika toka miisho ya dunia nakukuita toka pembe zake nikikuambia wewe u mtumishi wangu nimekuchagua wala sikukutupa.
2. Usiogope wala kufadhaika maana mimi ni Mungu wako nitakutia nguvu naam nitakusaidia nitakushika kwa mkono wa kuume wenye haki.
3. Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo zangu nami nitawalaza asema bwana Mungu na nitawatafuta walio potea nitawarudisha waliofukuzwa.