Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Anophrine desdeus
Umepakuliwa mara 3,547 | Umetazamwa mara 7,748
Download Nota Download MidiNimefufuka na ningali pamoja nawe, ningali pamoja nawe.
1. Maarifa hayo ni ya ajabu; Maarifa hayo ni ya ajabu.
2. Maarifa hayo yananishinda; Sidiriki kamwe kuyafikia.
3. Na niende wapi nijiepushe; Ili nijiepushe roho yako.
4. Na niende wapi niukimbie; ili niukimbie uso wako.
5. Ningepanda mbinguni wewe upo; kuzimu kwa kitanda wewe upo.
6. Giza nalo halikufichi kitu; usiku hun'gara kama mchana.