Ingia / Jisajili

Sitawaacha Ninyi Yatima

Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,573 | Umetazamwa mara 15,035

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sitawaacha ninyi yatima naja kwenu mioyo yenu ijae furaha. x 2

  1. Mkinipenda mtazishika amri zangu.
     
  2. Anipendaye na baba yangu atampenda.
     
  3. Anipendaye atalishika neno langu.
     
  4. Anipendaye huyo tutaishi pamoja.

Maoni - Toa Maoni

justin Nov 02, 2016
good song kindly provide sitawaacha yatima music sheet

Toa Maoni yako hapa