Ingia / Jisajili

Nimekosa Sana

Mtunzi: CHAMA HOKORORO
> Mfahamu Zaidi CHAMA HOKORORO
> Tazama Nyimbo nyingine za CHAMA HOKORORO

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Chama C. Hokororo

Umepakuliwa mara 115 | Umetazamwa mara 266

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nimekosa sana ee Mungu (Baba), ninatubu sana dhambi zangu (zote) Nisamehe ee Mungu. wangu 1. Bwana Yesu uliteseka kwa ajili yetu (ututakase Baba) utukinge na moto wa milele. 2.Bwana Yesu utuokoe katika maovu (yake mwovu shetani) utuongoze tufike mbinguni. 3. Bwana Yesu ni ufufuo tena ni uzima (tusaidie Baba) tunazileta shida mbalimbali.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa