Ingia / Jisajili

Nimekuinulia Macho

Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 177 | Umetazamwa mara 263

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Ee Bwana nimekuinulia macho yangu (nimekuamini wewe) Ee Bwana Ee Bwana nimekuinulia macho yangu

1. Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi

2. Msaada wangu u katika Bwana, aliyezifanya mbingu na nchi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa