Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Emmanuel Mwita
Umepakuliwa mara 5,780 | Umetazamwa mara 10,403
Download Nota Download MidiNIMEKUKIMBILIA BWANA
Nimekukimbilia Bwana, nisiaibike milele x2
Kwa haki yako uniponye; Tega sikio niokoe,
Uwe mwamba wa nguvu kwangu.
1. Uwe mwamba wa makazi yangu, niendako siku zote;
Uniokoe katika wavu, waliotega kwa siri.
2. Adui zangu washauriana, wasema umeniacha;
Mfuateni mkamateni, hakuna wa kumponya.
3. Usiwe mbali Ewe Mungu wangu, haraka nisaidie;
Waaibishe wanichukiao, adui wa nafsi yangu.