Ingia / Jisajili

Mungu Wa Israel

Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: France Kihombo

Umepakuliwa mara 688 | Umetazamwa mara 2,148

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Stephen Kobero Mpeka Mar 03, 2020
Kwanini Kanisa la Tanzania tusichukue uamuzi wa kuwazawadia watunzi mahiri 10 wenye nyimbo maarufu kuanzia 50? Kila Mmoja tumjengee nyumba kwa kuchangishana nchi nzima. Kufanya kazi hizi bila malipo ni dhuluma japo walimtumikia Mungu, tutambue kazi zao kikanisa jamani.

Toa Maoni yako hapa