Ingia / Jisajili

NIMEKUKOSEA EE MUNGU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 2,196

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nimekukosea ee Mungu(Bwana) naja mbele zako leo(mimi mwana wako), naungama dhambi zangu, nimekosa kwa mawazo ee Mungu nisamehe, kwa maneno na vitendo ee Mungu nisamehe, kwa kutotimiza wajibu wangu, ee Mungu nisamehe. 1.Nimetangatanga katika dhambi, na kusahau maagizo yako, nimegunduwa bila wewe Mkokozi wangu mimi si kitu. 2.Nimelemewa Bwana na mizigo nimekuwa mfungwa wa dhambi, nioshe tena kwa damu yako Bwana niwe mweupe. 3.Ninapopanga kutenda mazuri najikuta natenda maovu, bila uongozi wako Bwana nitashindwa nitapotea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa