Ingia / Jisajili

KIKOMBE KILE CHA BARAKA Zab 116

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 541 | Umetazamwa mara 1,682

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ALHAMISI KUU Kiitikio: Kikombe kile cha baraka, kikombe kile cha baraka, kikombe kile cha baraka tukibarikicho, je si ushirika wa damu ya Kristo, je si ushirika wa damu ya Kristo. 1.Nimrudishie Bwana wangu nini kwa ukarimu wake alionitendea? nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana. 2.Ina thamanimachoni pa Bwana, mauti ya wacha Mungu wake,Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako mwana wa mjakazi wako umevifunga vifungo vyangu. 1.Nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza jina la Bwana,nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana naam mbele yawatu wake wote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa