Ingia / Jisajili

Nimesulubiwa Pamoja Na Kristu

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,204 | Umetazamwa mara 4,030

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nimesulubiwa pamoja na Kristo lakini ni hai ni hai wala si mimi tena si mimi tena bali Kristo yu hai ndani yangu x 2

  1. Na uhai mlio nao sasa katika mwili ninao katika imani, imbani ya mwana wa Mungu.
     
  2. Ambaye alinipenda akajitoa nafsi yake, kwa ajili yangu akajitoa nafsi yake.
     
  3. Siibatili neema ya Mungu kwa maana ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria basi Kristo alikufa bure.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa