Ingia / Jisajili

Kondoo Wangu Waisikia Sauti Yangu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 26

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KONDOO WANGU WAISIKIA SAUTI YANGU (Sauti YANGU) NAMI NAWAJUA.NAO WANIFUATA ASEMA BWANA X2 (1).Nami nawapa uzima uzima wa milele .Wala hawata pokea kamwe. (2).Wala hakuna mtu atakaye wapokonya.katika mkono mkono wangu. (3).Baba yangu aliyenipa aliyenipa hao.ni mkuu kuliko wore.(4).Hakuna hawezaye kuwatoa mikononi mwke. Baba Mimi baba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa