Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki No 2

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 32 | Umetazamwa mara 58

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE HAKI .NA HUKUMU ZAKO NI ZA ADILI.KAMA ZILIVYO REHEMA ZAKO UMTENDEE MTUMISHI WAKO X 2 Fine {1). Wabaya wanchi pia umewa ondoa kama taka taka ndio maana nimezipenda nimezipenda shuhuda zako.x2.Ee Bwana Wewe ndiwe Mwenye haki na Hukumu Hukumu zako niza adili.(3).Kama zilivyo rehema zako umtendee mtishi wako na amri zako unifundishe.(4) .Mimi ni mtumishi wako Ee Bwana unifahamishe.nipate kuzijua shuhuda zako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa