Ingia / Jisajili

Nimewapeni mfano

Mtunzi: A. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Kazi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Miito

Umepakiwa na: Kazi Anselmi

Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 54

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio:- Nimewapeni mfano, nimewapeni mfano, ili nanyi mfanye vilevile. Mashairi:- 1. Basi ikiwa mimi niliye Bwana na mwalimu wenu nimewatawadha yapasa kutawadhana ninyi kwa ninyi. 2. Yeye ampokeaye mtu yeyote nimpelekaye, ananipokea mimi pia yule aliyenipeleka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa