Ingia / Jisajili

Paza sauti

Mtunzi: A. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Kazi

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Kazi Anselmi

Umepakuliwa mara 956 | Umetazamwa mara 2,171

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Paza sauti paza sauti piga kelele, maana mtakatifu mtakatifu wa Israeli, maana mtakatifu mtakatifu wa Israeli, ni mkuu ni mkuu kati yako 1.Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, nitatumaini wala sitaogopa. 2.Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu. 3. Basi kwa furaha mtateka maji, katika visima vya wokovu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa