Ingia / Jisajili

Ninajongea Meza Yako

Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: VITALIS MWINYI

Umepakuliwa mara 444 | Umetazamwa mara 2,491

Download Nota
Maneno ya wimbo

1. Ni na jo nge a me za ya ko Ee Bwa na.
    Ni i shi ri ki ka ra mu ya ko Bwa na.

Kiitikio: Ni ru hu su Bwa na wa ngu ni ku po ke e i li ni pa te u zi ma wa mi le le

2. We we ni mka te - Njo o u ni shi bi she
    We we ki nywa ji - Njoo niburudishe (Kiitikio)

3. Kwa mo yo safi - Tu jo nge e me za ya ke
    Na kwa ma pe ndo - Bwa na a tu a li ka (Kiitikio)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa