Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: VITALIS MWINYI
Umepakuliwa mara 1,370 | Umetazamwa mara 3,792
Download Nota Download MidiKiitikio
Umeniita Bwana nikutumikie X 2. Nami nitafurahia, nami nitafurahia, nami nitafurahia wito wangu kwa utumishi
Mashairi
1. a. Nimekuja kwako Bwana kwani nimesikia, nipokee nikutumikie
b. Japo magumu mengi Bwana yananisonga, nijalie nguvu niyashinde
2. a. Nitakwenda popote Bwana utakapo, ili nilichunge kundi lako
b. Kwani kondoo ni wengi wachungaji ni haba, nipe nguvu Bwana niwachunge
3. a. Pamoja na udhaifu wangu umeniita, kweli Bwana wewe waajabu
b. Nijalie mapaji ya Roho Mtakatifu, niwafikishe watu kwako Baba