Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 688 | Umetazamwa mara 3,765
Download Nota Download MidiNINAKUABUDU MUNGU
KIITIKIO: Ninakuabudu ee Mungu wangu
katika maumbo ya mkate na divai
humo Mungu mzima mwili na roho x2
Ekaristi ni chakula cha wasafiri
tuipokee kwa moyo safi
1. Nilishe ninyweshe kwa mwili wako
nipate uzima wa roho yangu
2. Japo wajificha mimi nakuona
Nijaze neema nikikupokea
3. Kumbukumbu ya kifo cha Yesu Kristu
Alikufa kwa ajili yetu sisi.