Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Kelvin Tumaini
Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 356
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C
Ninakushukuru Bwana kwa kunilisha chakula, Ninakushukuru Bwana kwa kuninywesha kinywaji.
Chakula cha uzima, kinywaji cha roho. Nasema Asante Asante MUNGU wangu, nasema Asante Asante nashukuru.*2