Ingia / Jisajili

Nitamshukuru Bwana

Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Kelvin Tumaini

Umepakuliwa mara 104 | Umetazamwa mara 314

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitamshukuru Bwana kwa Moyo wangu wote,nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.*2

Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimbia jina lako wewe, jina lako wewe uliye juu.

  1.  Umewakemea mataifa na mwangamiza mdhalimu, umelifutajina lao milele.
  2. Adui wamekoma na kuachwa ukiwa nayo miji yao uliing'oa, hata kumbukumbu lao limepotea.
  3. Bali Bwana atakaa milele ameweka kiti kiti chake, ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa