Ingia / Jisajili

Ninakushukuru Mungu(Kuuona Mwaka Mpya)

Mtunzi: Vedasto A.J. Rusohoka
> Mfahamu Zaidi Vedasto A.J. Rusohoka
> Tazama Nyimbo nyingine za Vedasto A.J. Rusohoka

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Vedasto Adriano

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ninakushukuru Mungu Mwumba wa Mbingu na Dunia kwa maana umenilinda katika mwaka uliopita na leo nimeuona mwaka mwingine tena, pokea shukrani zangu toka katika Moyo wangu sina kitu cha kukulipa kwa wema ulionitendea neno moja niwezalo kusema ni Asante.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa