Mtunzi: Philemon Kajomola {Phika}
> Mfahamu Zaidi Philemon Kajomola {Phika}
> Tazama Nyimbo nyingine za Philemon Kajomola {Phika}
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 774 | Umetazamwa mara 3,518
Download Nota Download MidiNishibishe Bwana Yesu kwa mwili wako, Nitulize Yesu kwa damu yako x2
Nitashangilia tena nitarukaruka nitaimba sifa zako siku zote x2
1. Nipokee Yesu mwilio na damuyo ilnitangaze kifo chako Bwana Yesu kifo na ufufuko wako mpaka ujapo
2. Uwenda ni yangu Bwana Yesu siku zote utawale mwili wangu na akili zangu moyo wangu uwenda ni yako siku zote
3. Muungano huu mwovu hata uvurugu kwani umo ndani yangu name ndani yako shetani nipishe njia nipo na Bwana Yesu