Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 232 | Umetazamwa mara 1,345
Download NotaNisikilizeni ninyi mjua haki watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu
1. Msiogope matukano ya watu wala msifadhaike kwasababu yadhihaka zao mana nondo itawala kama vazi na funza itawala kama sufu bali haki yangu itakua yamilele vizazi vyote