Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 264 | Umetazamwa mara 1,321
Download Nota1.Ule upendo wake Mungu baba ushirika wa roho mtakatifu pia na neema ya bwana yesu vikae nanyi daima na milele
Bwana utubariki tushushie baraka tuvuvie roho wako mtakatifu atuongoze.
Utuongoze e tushushie nema, tutendeyote kwa sifa na utukufu wajina lake.