Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 1,191 | Umetazamwa mara 3,451
Download Nota Download MidiNITAFURAHI SANA KATIKA BWANA
Nitafurahi sana katika Bwana, kwamaana amenivika mimi mavazi ya wokovu
amenifunika vazi la-haki kama -bibi Arusi ajipambovya kwa vyombo vya Dha ha bu. x2.
1. Nita - fu ra hisana ka tika Bwana, nafsi yangu itashangilia, ka - tikaBwanaMungu wa - ngu Mungu wangu.
2. Nita - imba kwa shangwe na kwa furaha, ni kimsifu na kumtukuza, kwamaana amenibari-ki Mungu wangu.
3. Ona - ninavyong'a a na kupendeza, yanipasa nakukushukuru, nitaimba nakukutuku - za Mi - lele.